Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Natukae na undugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi.
Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii
Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya Kenya
Tunayoipenda
Tuwe tayari kuilinda.
Natujenge taifa letu
Ee, ndio wajibu wetu
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono
Pamoja kazini
Kila siku tuwe na shukrani.
Ее Мунгу nguvu Yetu
Ilete барака kwetu
Хаки IWE Ngao на mlinzi
Natukae на undugu
Амани на Ухуру
Раха tupate на ustawi .
Amkeni ndugu zetu
Tufanye соте bidii
Наси tujitoe Ква nguvu
Nchi Yetu я Кения
Tunayoipenda
TUWE tayari kuilinda .
Natujenge таифа Пусть и
Ее, NDIO wajibu wetu
Кения istahili heshima
Tuungane mikono
Pamoja Казини
Кила SIKU TUWE на shukrani .